
Matokeo ya uchaguzi mdogo jimbo la Igunga yanaendelea kutolewa huku CCM na Chadema vikiendelea kuchuana vikali na taarifa za awali zilizotolewa na kada wa CCM Januari Makanda zinadai kuwa CCM imefanikiwa kuongoza kata vitu sita ambavyo ni ngome ya Chadema vituo hivyo ni Itunda, 664 Mkinga 1035 Nguvu moja 634 na Mtogo 730 japo bado matokeo rasmi hayajatangazwa vuta subiri
No comments:
Post a Comment