SHAUKU ya wanafumzi waliofanya mtihani wa darasa la Saba mwaka huu kutaka kujua walichopanda kwa miaka 7 kujulikana Leo ambapo matokeo ya mtihani wa Taifa wa darasa la saba Kutangazwa rasimi.
Mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com utakuunganisha moja kwa moja na zoezi Hilo la utangazaji wa matokeo hayo kwa wanafunzi wa mkoa wa Iringa.
No comments:
Post a Comment