August 4, 2012

TIMU YA TASWA FC IRINGA YAJINOA VIKALI KUIKABILIA TIMU YA BODA BODA LEO

mwalimu wa timu ya Taswa Iringa Julio Eliaza akishuhudia mazoezi makali ya timu ya waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA) mkoa wa Iringa jana katika uwanja wa Kleruu









Mchezo kati ya wanahabari Iringa na timu ya Boda boda ni leo katika uwanja wa samora

No comments: